Haiwezekani TANZANIA

Haiwezekani TANZANIA

Ehud

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2008
Posts
2,685
Reaction score
338
Egypt.jpg
An Egyptian Police Officer is carried by protester during a demonstration against Islamist President Mohamed Morsi outside a Military base in Cairo.

Jana nilikuwa naangalia waandamanaji walivyokuwa wanapendeza, UMEME ukiwa unawaka mitaani huku wakishangilia nikasema ingelikuwa Tanzania kina Mwigilu Nchema, Nape, Kinana & "the Gang" wangewambia Tanesco wakate umeme......by the way hivi Police wa Tanzania wanaweza kutumikia wananchi na kuweka maslahi ya Taifa juu ya yale ya CCM?

Tafakari, Chukua Hatua.
 
Mkuu polisi hawawezi kwanza siku hizi wameshaamriwa KUPIGA TUUUUUUU.....
 
Unaongelea polisi? Ongelea jeshi la wananchi ambalo limekubali kutumika kisiasa na CCM. Maana kwa polisi kutumika kisiasa hilo halina mjadala. Lakini inashangaza pale ambapo jeshi la wananchi linalotakiwa daima kubaki neutral, na lenyewe kupoteza mwelekeo na kukubali kuanza kutumiwa. Inashangaza sana.
 
Polisi wa bongo akibebwa hivo ujue kesho yake kimeota. Bado tuna uendeshaji wa polisi wa kikoloni zaidi, hata sheria za polisi yenyewe ni Ordinance tulizorithi kwa mkoloni, hatujawahi tengeneza zetu. Jeshi la mkoloni lilikuwa na lengo la kumtisha mwananchi na kumjaza uoga dhidi ya Mtawala (mkoloni). Ndo maana tutapigwa tu kwakuwa mtawala anasema katuchoka.
 
haitakuja kutokea kitu kama hiyo hapa kwetu polisi kubebwa na raia? never
 
Hv kwa zile tumbo za chagonjwa atawezekana kubebwa hivi?nepi akimwona tu msala lazima kiote nyasi..
 
Back
Top Bottom