Ata simuwaz coz mi na yeye ni vitu viwili tofauti tunakizana most of the time hatupatani so sinaga uo muda wa kumfikilia fikilia .Simple tu, unamuwaza sana mchana kutwa, unategemea usiku uote nn? Ndoto ni reflection ya mawazo yetu
Tukisalimiana tu basi chanzo cha kuwa ivyo hakieleweki ni kama vile hatumatch tabia kwaiyo kila mtu na time yake.Ata simuwaz coz mi na yeye ni vitu viwili tofauti tunakizana most of the time hatupatani so sinaga uo mda wa kumfikilia fikilia .
Haya kila la heriAta simuwaz coz mi na yeye ni vitu viwili tofauti tunakizana most of the time hatupatani so sinaga uo mda wa kumfikilia fikilia .
Alafu humu ndani analala siku moja moja tu....wiki ili kidog amejitahid kulala hum ndaniHaya kila la heri
Nilishamwambia ivi kwanini nakuota wewe kila siku kuna siku alinipulizia upepo mkali ili nisisome nilale,ilikuwa ivi nililala badae nikaamka lakini haikuchukua sekunde nikalala tena nikaona amechukua shuka kanikung utia uson mara moja ile kama ya kukupepea iyo ilikuwa ya pili naix hii ya nne sio ya tatu ni uyu uyu mbon mwezake nashindanae kila siku humu sijawahi muota uyu mwingine ni mtu wa dini sanaMwite muwe wawili tu alafu mchane live aache Mambo ya kipuuzi na michezo yake umeishtukia
Swali ninalojiuliza kwanini nimwote yeye kila sikuNilishamwambia ivi kwanini nakuota wewe kila siku kuna siku alinipulizia upepo mkali ili nisisome nilale,ilikuwa ivi nililala badae nikaamka lakini haikuchukua sekunde nikalala tena nikaona amechukua shuka kanikung utia uson mara moja ile kama ya kukupepea iyo ilikuwa ya pili naix hii ya nne sio ya tatu ni uyu uyu mbon mwezake nashindanae kila siku humu sijawahi muota uyu mwingine ni mtu wa dini sana
Halafu simuoti kwa mema ni kama ananichezeaSwali ninalojiuliza kwanini nimwote yeye kila siku
Ata simuwaz coz mi na yeye ni vitu viwili tofauti tunakizana most of the time hatupatani so sinaga uo mda wa kumfikilia fikilia .
Kuna reasons zinazofanya tusipatane kuna kitu kilitokea beforewewe ni kichaa(una matatizo ya akili)muone haraka psychiatrist akusaidie,una emotional distress,hauwezi ukasema ukasema unamchukia,alafu tena haumfikirii alafu tena unaleta uzi wa kulalamika hapa asubuhi hii(probably lazima unamuwaza ndio maana unamuota) na solutions zako za kufanya maombi ni dalili nyingine ya matatizo ya akili
Pole sana,au kama kuna possibility ya kuama hapo unapoishi ungefanya ivyo maana unakosa amani usije ukadisco bureNilishamwambia ivi kwanini nakuota wewe kila siku kuna siku alinipulizia upepo mkali ili nisisome nilale,ilikuwa ivi nililala badae nikaamka lakini haikuchukua sekunde nikalala tena nikaona amechukua shuka kanikung utia uson mara moja ile kama ya kukupepea iyo ilikuwa ya pili naix hii ya nne sio ya tatu ni uyu uyu mbon mwezake nashindanae kila siku humu sijawahi muota uyu mwingine ni mtu wa dini sana
Next semi nitaama saiz karib tunafanya finalUnaishi na mwanga
Ndo maana ulipomwambia unamuona aka stop kwa mda..
Ushauri hama haraka
Alafu nilianza kumchukia baada ya kuona namuota yeye ananichezea chezea uko nyuma nilikuwanae poa tuKuna reasons zinazofanya tusipatane kuna kitu kilitokea before
Mimi Nina asili ya kuona ndotoni nishafanyiwa na mengine huko nyuma kwenye ndoto ila ndoto zangu Mara nyingi ni za maonoMuombee huruma ya MUNGU aache hizo tabia nahisi hata yeye zinamtesa sana kwa kuwa kila anachokufanyia usiku unakiona.
Mungu habagui Na anatupenda sisi sote .