Haitokei kwa Kubahatisha 🦁🦁🦁

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
9,527
14,403
Mpira wetu umekua sana sasa hivi aisee,hii sio kawaida mujue,Waandishi zaidi ya 100 na Ishirini walihudhuria kwa Mkapa, kwenye mazoezi ya timu ya Simba SC. elewa neno Waandishi sio Muandishi😂 ✍️
IMG-20240328-WA0009.jpg
 
Haya yoote muyaonayo Kongole kwa......

1. Mama Samia

2. C.C.M

3. Mo Dewji

4. T.F.F

5. Simba S.C.

6. Wallace Karia

7. Azam Media

8. Yanga

9. Namungo

10. Clotous Chota Chama

11.

12.

Usinune, nawe ongezea vitu vilivyosaidia kufanya haya tunayoyashuhudia kutokea sasa hayakutokea kwa bahati mbaya...
 
Haya yoote muyaonayo Kongole kwa......

1. Mama Samia

2. C.C.M

3. Mo Dewji

4. T.F.F

5. Simba S.C.

6. Wallace Karia

7. Azam Media

8. Yanga

9. Namungo

10. Clotous Chota Chama

11.

12.

Usinune, nawe ongezea vitu vilivyosaidia kufanya haya tunayoyashuhudia kutokea sasa hayakutokea kwa bahati mbaya...
Azam F.c

Feisali salum mzee wa ugali sukari😂😂
 
Back
Top Bottom