Haiti....shida ni nini hasa?

Obama ndo kawasaliti zaidi
Rais mweusi kashindwa kuwasaidia weusi wenzake
angepeleka misaada kama wanayopeleka Israel....labda unafuu ungekuwepo
Ukiwahi kujiuliza kwa nini Africa haina maendeleo then na Haiti shida ni hiyo hiyo . Aina yetu wa Africa weusi tuna matatizo mengi ya kihistoria na ya kurithi na hili ni tatizo kubwa la Haiti

Pengine wapo watakaonizodoa lakini ukweli ndiyo huo.
 
Ukweli kiasi fulani but Haiti imezidi kidogo
Jamaica na Bahamas mbona nafuu?
utalii unawalipa kidogo..ila Haiti sijui nini hasa tatizo
 
Hali iliyopo Haiti ni mfano na model tosha ya kuelezea kuhusu watu weusi generally, kutozingatia elimu, kutokufanya kazi, kutoweza kuji organize n.k, hali iliyopo Haiti ndio iliyopo kwenye nchi za Afrika chini ya jangwa a sahara na mageto ya weusi marekani na ufaransa na kwingineko
tukizingatia elimu kuwa na nidhamu na kufanya kazi tutaendelea, japokuwa sio kufikia wazungu,
kutegemea tupewe misaada ya kifedha nadhani sio kitu endelevu cha kututoa kwenye umasikini
 
Wanataka ile taifa liondoke kabisa,,,kumbuka sio kila kitu ni janga la asili, hata vimbunga na matetemeko hua kuna ya kutengenezwa pia
 
Obama ndo kawasaliti zaidi
Rais mweusi kashindwa kuwasaidia weusi wenzake
angepeleka misaada kama wanayopeleka Israel....labda unafuu ungekuwepo
Nilichokuja kugundua kua Rais wa USA ni pambo tu....kuna real people wako behind wanarun U.S.
Nasikia kuna wayahudi wenye nguvu ndo "wanaimiliki" nchi ile. Ndo mana kila mtia nia ya urais America ni traditionally afanye mazungumzo na PM wa Israel.
Kuna mengi hatuyajui na hatutakuja kuyajua.
 
Ukweli kiasi fulani but Haiti imezidi kidogo
Jamaica na Bahamas mbona nafuu?
utalii unawalipa kidogo..ila Haiti sijui nini hasa tatizo
Hata hao Bahamas na Jamaica ugonjwa na tatizo ni pale pale huwezi kuzilinganisha na mataifa hayo ya ulaya magharibi.

Uafrica ni tatizo angalia hata tunavyoongozana na vipaumbele vyetu. Maendeleo labda ya kufikirika
 
Some truth
 
Nilitegemea mwisho nitakutana na kamtihani.
Umenikeraje
 
Wanataka ile taifa liondoke kabisa,,,kumbuka sio kila kitu ni janga la asili, hata vimbunga na matetemeko hua kuna ya kutengenezwa pia

kina nani wanataka?
 
Sijui mpango wao wa kujiunga na Africa uliishia wapi.,kama vipi waje tu tusaidiane umasikini tu maana hakuna namna.
 
Obama ndo kawasaliti zaidi
Rais mweusi kashindwa kuwasaidia weusi wenzake
angepeleka misaada kama wanayopeleka Israel....labda unafuu ungekuwepo
Kama obama angefanya mambo kwa sababu ya rangi na trump akija afanye kwa sababu ya rangi marekani isingekuwa pale ilipo huo uswahili ni wetu tu
Na ijulikane kuwa obama ni rais lakini sio ana mamlaka ya kuamua anavyotaka hio huwa ni kwetu unaopoweza simama na kusema "mimi si ndio rais ntakupa"
 
Ukweli ni kwamba weusi wapo hoi kabisa, hii inatokana na unyanyaswaji wa kihistoria,ukoloni na kadhalika.
Obama alipaswa kutia mkono kusaidia angalau arejeshe usawa na wala halihusiani na rangi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…