Kwanini Siku hizi Condoms hazipatikani kwa Uwingi huku Mitaani Kwetu kama zamani? au Janga la VVU sasa limeshadhibitiwa na haliko tena kwa mujibu wa WHO?
Kwanini Siku hizi Condoms hazipatikani kwa Uwingi huku Mitaani Kwetu kama zamani? au Janga la VVU sasa limeshadhibitiwa na haliko tena kwa mujibu wa WHO?
Tayari kafariki jamani, haina haja ya kukosoa jina la mume wake lililopo kwenye namba ya michango. Siku zingine toa kama unacho na unataka kutoa, kama hutaki au huna ukimya ni kitu muhimu sana.
Ndo nimemkumbusha hapo yaani Kuna magonjwa kibongo bongo bila kutembeza bakuli hutoboi ng'ooo!!!
Mimi Sasa hv Msanii wa kumchangia Riyama tu wengine Hawa,yakiwakuta watashaaa....mbonaaa