Wasanii waunde umoja wa kusaidiana wawe wanachangia hata 20,000 kila mwezi ,
Mmoja akipata shida wanatoa.
Mbona wauza kitimoto wa kimara wanaotokea Moshi wanafanya?
Au ule umoja wa w.auza mayai kutoka kiabakari Musoma waishio Kitunda
Wa bongo flava, ni wale wasanii wanaoimba kila siku lakini hawajawahi pata bahati ya kutoa mega hit song ya kuwapa jina kubwa mainstream. Japo media huwa zinampa sana interviews ndo maana anajulikana kiasi
Ndio nimemsikia Leo huyo msanii...vijana ACHENI SHISHA na huyo ni mmoja tu tumemfahamu coz ni msanii..ni vijana wangapi wako ocean road au hospital zingine wanateseka na mapafu kushindwa kufanya kazi na cancer .huyo mapafu kwisha habari yake.Mungu aingulie kati otherwise hatoki humo ICU maana hawezi kupumua bila mashine na mapafu yamefail...