Baadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo?
Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja.
Ukweli ni kwamba, hakuna mzee wa ki Africa aliyewahi kupata hadhi na heshima ya kuwa papa. Na haitakaa itokee.
Simulizi ya Yesu na Biblia vililetwa Africa kwaajili ya kuwapumbaza wa Africa. Wa Africa muamini kuna mtu fulani mweupe aliitwa Yesu aliwahi kufa kwaajili ya dhambi zenu.
Hii ndio sababu mmekuwa mnazuzuka kwa kuwahusudu sana wazungu. Mmekuwa watumwa mnaosujudu dini na mila zao, huku mkizizika mila zenu za asili.
Wa Africa wengi huwa wanahisi fahari pale wanapovaa suti na kuonekana kama wazungu. Huwezi kuwalaumu.
Kimwili wapo huru, ila mikono ya bongo zao bado imefungwa minyororo ya mabaki ya utumwa wa fikra.
Najua hii ni moja ya post itayonitengenezea uadui wa kutisha barani Africa. Lakini suala la Africa kushindwa kutoa Papa wakati huu.
Labda hii itawaamsha wazikumbuke mila na tamaduni za mababu zao. Na wa Africa wanaojitambua wengi wataunga mkono nilichokiandika."
View attachment 3329880
Huyu kwenye picha ndiye alitaka upapa au ndiye mwandishiBaadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo?
Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja.
Ukweli ni kwamba, hakuna mzee wa ki Africa aliyewahi kupata hadhi na heshima ya kuwa papa. Na haitakaa itokee.
Simulizi ya Yesu na Biblia vililetwa Africa kwaajili ya kuwapumbaza wa Africa. Wa Africa muamini kuna mtu fulani mweupe aliitwa Yesu aliwahi kufa kwaajili ya dhambi zenu.
Hii ndio sababu mmekuwa mnazuzuka kwa kuwahusudu sana wazungu. Mmekuwa watumwa mnaosujudu dini na mila zao, huku mkizizika mila zenu za asili.
Wa Africa wengi huwa wanahisi fahari pale wanapovaa suti na kuonekana kama wazungu. Huwezi kuwalaumu.
Kimwili wapo huru, ila mikono ya bongo zao bado imefungwa minyororo ya mabaki ya utumwa wa fikra.
Najua hii ni moja ya post itayonitengenezea uadui wa kutisha barani Africa. Lakini suala la Africa kushindwa kutoa Papa wakati huu.
Labda hii itawaamsha wazikumbuke mila na tamaduni za mababu zao. Na wa Africa wanaojitambua wengi wataunga mkono nilichokiandika."
View attachment 3329880
Wamewahi mchagua kipindi FulaniBaadhi yenu mlifikiri hao makadinari wanaweza kupiga kura ya kumchagua Papa kutoka Africa? Kweli kabisa mliruhusu wendawazimu wa fikra uwaongoze kuwaza hivyo?
Africa kuwa na papa mweusi hiyo kamwe haitakaa ije kutokea. Hata kama dunia itatupa bonus ya kuishi miaka elf moja.
Ukweli ni kwamba, hakuna mzee wa ki Africa aliyewahi kupata hadhi na heshima ya kuwa papa. Na haitakaa itokee.
Simulizi ya Yesu na Biblia vililetwa Africa kwaajili ya kuwapumbaza wa Africa. Wa Africa muamini kuna mtu fulani mweupe aliitwa Yesu aliwahi kufa kwaajili ya dhambi zenu.
Hii ndio sababu mmekuwa mnazuzuka kwa kuwahusudu sana wazungu. Mmekuwa watumwa mnaosujudu dini na mila zao, huku mkizizika mila zenu za asili.
Wa Africa wengi huwa wanahisi fahari pale wanapovaa suti na kuonekana kama wazungu. Huwezi kuwalaumu.
Kimwili wapo huru, ila mikono ya bongo zao bado imefungwa minyororo ya mabaki ya utumwa wa fikra.
Najua hii ni moja ya post itayonitengenezea uadui wa kutisha barani Africa. Lakini suala la Africa kushindwa kutoa Papa wakati huu.
Labda hii itawaamsha wazikumbuke mila na tamaduni za mababu zao. Na wa Africa wanaojitambua wengi wataunga mkono nilichokiandika."
View attachment 3329880
Ujinga mtupu ulioandikwa na mjinga kuwakusudia wajinga
Uchaguz wa papa ni uchaguz wa kiroho siyo uchaguz wa rangi ya mtu
Ni sawa na leo atokee mchaga awatukane wazinza kwa kuwaambia kamwe hawapata kadinar katika maisha yao
Kanisa linahitaji kiongoz wa kiroho siyo kiongoz wa rangi
Hata hao marekan walikuwa hawajawahi pata papa ndo leo katokea na ukumbuke america ni bara kama ilivyo Africa
Huwezi kuelewa wewe mtu mwenyewe unaishi vijijini huko hata south afrika hujawahi kuishi ukaona maisha ya watu weupeUjinga mtupu ulioandikwa na mjinga kuwakusudia wajinga
Uchaguz wa papa ni uchaguz wa kiroho siyo uchaguz wa rangi ya mtu
Ni sawa na leo atokee mchaga awatukane wazinza kwa kuwaambia kamwe hawapata kadinar katika maisha yao
Kanisa linahitaji kiongoz wa kiroho siyo kiroho wa rangi