Haitakaa ijirudie

Niliwahi kumsifia kwa kuwa na kifua cha kuhimili kejeli.
Pia niliwahi kumponda kuhusu kubebana.
Kwa wale ambao walikuwa wanamuita dhaifu kila aina ya majina Sasa ndio wanaona umuhimu.

Hata yeye alisema naondoka Mimi Ila nawaletea mchapakazi ambaye sio dhaifu.
 
Kwa wale ambao walikuwa wanamuita dhaifu kila aina ya majina Sasa ndio wanaona umuhimu.

Hata yeye alisema naondoka Mimi Ila nawaletea mchapakazi ambaye sio dhaifu.
Tubalance mambo, JK alijifelisha mwenyewe kabla hajakabidhiwa urais.
Hakujua alichipanda yangebaki kuwa matunda yake ktk njia nzima ya uongozi.
Alicheza rafu mapema kwa kutengeneza mskundi na meneja wake akiwa EL.
Makundi hayo yalimdhoofisha hata ktk jema lolote alilolifanya kiasi cha kumlegeza kabisa ikiwa ni ishara ya kunyoosha mikono.
Jamaa alianza vyema sana but adui zake hawakukubaliana na kufanikiwa kwake.
Nasema yapo mambo ambayo alifaulu kiasi ambayo Aliyepo hatayafikia. Pia yapo aliyoboronga sana.
Huyu tuliyenaye naweka akiba ya maneno
 
Huyu naye pia atapita Kama wengine. Kwa kipindi hiki kifupi Kuna mambo kafanya poa mengine ameboronga.

Tatizo pale hisia zinatawala kuliko uhalisia wa mambo yenyewe
 
Watanzania tunaongoza kwa unafiki sijawai kujua kikwete uwa mnammis kwa lipi
Alianza vizuri, akafanya vibaya mwisho akatuacha pazuri. Huyu aliyetuacha naye angefaa aongoze jeshi. Maana hana siasa
 
Wewe ndio duni wa kupitia maandiko mbalimbali,kila mtu katika nafasi yake ukumbukwa akimaliza jukumu laje au akifa, ndio maana hakuna mtume hata mmoja aluyekubalika akiwa hai,jifubze hilo litakusaidia
Absolutely!hata huyu watammiss tu wanaowamissigi watu.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…