Ungeyasema kipindi chake tusingekuona mnafiki.JK rais bora kabisa kuwahi kutawala Tanzania
serious na zaidi!!Hii picha ina maneno 1,000
Ujumbe huu uwafikie waliokuzaa pia wataufurahiaKaza matako na pumzi show bado inaendelea.
Niliwahi kusemaJK rais bora kabisa kuwahi kutawala Tanzania
Wewe Queer ya nini kuwataja watu ambao hata hawakujui wewe wala jf na siyo walioandika ulichoquote?Ujumbe huu uwafikie waliokuzaa pia wataufurahia
Sure mkuuNiliwahi kusema
"Huwezi kuujua uzuri wa uliye naye kabla mbaya hajajitokeza"
Niliambulia kejeli
Lengo langu sio wao bali ikuguse wewe, mnaudhi sana kutumia lugha chafu humu. Nilitamani ujaribu kuvaa viatu ya yule uliyemtolea lugha chafu ili ujifunze.Wewe Queer ya nini kuwataja watu ambao hata hawakujui wewe wala jf na siyo walioandika ulichoquote?
Thubutuuuuu...!Hv tangu aingie mjengoni kule wamefika kweli hawa ndugu zangu
Si unaona anavyocheka cheka! walitaka kumshika hata ndevu.....sasa hivi hata kuongea wanaongelea Nairobi... kudadadeki!
Hahahahahahahaaa we are missing you mkwere they were calling you mr chekacheka now we have the one we deserve
Lengo langu sio wao bali ikuguse wewe, mnaudhi sana kutumia lugha chafu humu. Nilitamani ujaribu kuvaa viatu ya yule uliyemtolea lugha chafu ili ujifunze.
Humu kuna watu na heshima zao lkn huwa hamjali hilo sababu hamuonekani mnatupa kila ya aina ya mineno isiyo na staha. Jifunze kuwaheshimu wengine ili uheshimiwe pia.
Kijana usiendelee kunichokoza, kubali ulikosea kutoa lugha chafu.Unatumia poor excuse kunihusishia wazazi katika kitu nilichofanya mimi.
Ni mara ngapi umesikia hili neno?
Umewahi kujihusisha na mpira wa miguu?
Siku mtu akikuandikia quote aliyotoa kwenye kitabu inayosema "Mtu atajivunia ub00 wake bila kujali ukubwa" si utamtukania ukoo mzima?
Nina uhakika miongoni mwa watu ambao hawatukani member wenzao, hata kama wameandika utumbo, na mimi nimo.
Sijasema umenitukana. Wala ikiwa nimewahi kuona umetukana.Kijana usiendelee kunichokoza, kubali ulikosea kutoa lugha chafu.
Ni wapi niliwahi kukujibu vibaya?
Ni nani nimewahi kumtukana?
Sijatukana wazazi wako bali nimesema..waone hiyo post yako
Yaishe but ukiwa unajiheshimu futa au rekebisha hiyo post yako, huyo jamaa ni mwuungwana mno kanyamaza kuonyesha ukomavu wakeSijasema umenitukana. Wala ikiwa nimewahi kuona umetukana.
Jibu langu lilikua pale uliposema kua hua tunakuja humu kutoa lugha chafu bila kujali watu waliomo.
Mimi na wewe kwenye uzi huu tunaishia hapa.