Comedy ya anne kansiime hiyo bila shaka. Huyu dada anatakiwa kupiga msasa matamshi yake, ana tatizo kubwa la 'l' na 'r'.Lorry atasema Rolly create atasema cleate nk.Comedy hainogi kama unaharibu matamshi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.