Haipendezi, sherehe haina vileo

Kwani unalazimishwa kuchangia shughuli?

Au roho ya kwanini inakusumbua?

Nyie ndo wale mkiona wenzenu wanatunzwa mahela kwenye sherehe roho zinawauma.
πŸ˜›πŸ˜›Hata wewe hulazimishwi kuchangia mada hii, kama unapenda harusi za soda fungua thread yako na 'walokole' wenzio mchangie. Sisi tunaopenda pombe hasa 'Serengeti Nyepesi' tutaendelea kutoa michango mikubwa kwenye harusi tukitegemea kunywa pombe nyingi sanaπŸ˜€
 
Ha ha ha nyinyi ndo wale mnaokunywa bia sherehe mpaka sherehe .


Hizo tabia za kiswahili sana

Kama shida yako bia kwa nn usiende ukanunua ukanywa?
 
Ha ha ha nyinyi ndo wale mnaokunywa bia sherehe mpaka sherehe .


Hizo tabia za kiswahili sana

Kama shida yako bia kwa nn usiende ukanunua ukanywa?
Jambo usilolijua litakusumbua. Una kiherehere kama mnywaji wa Balimi.
 
Jambo usilolijua litakusumbua. Una kiherehere kama mnywaji wa Balimi.
Tabia za kiswahili hizo.

Nyie ndo wale mnaobeba chakula kwenye sherehe mkalie kwenu.

Yaani ndo shida ya kukulia uswahilini hii.


Yaani unasubiri sherehe ndio ulewe kwa kuwa uwezo wa kununua bia hauna unasuburi mtelezo.
 
Nilishaacha kuchangia sherehe, nachangia wagonjwa, wazee wasiojiweza, walemavu
 
Tabia za kiswahili hizo.

Nyie ndo wale mnaobeba chakula kwenye sherehe mkalie kwenu.

Yaani ndo shida ya kukulia uswahilini hii.


Yaani unasubiri sherehe ndio ulewe kwa kuwa uwezo wa kununua bia hauna unasuburi mtelezo.
Dogo mimi nipo JF toka 2009, wewe umekuja juzi baada ya kuanza kupata hela ya bando. Wewe huna tofauti na mwanangu. Mwaka 2009 ulikuwa shule, mimi nikiwa kazini kwa miaka kadhaa, kwahiyo ningeweza kukusomesha shule kwa kukulipia ada na kukutumia hela ya kula shuleni. Kuwa na adabu, la sivyo tuhuma zako ni kiki kama kiki zingine.
 
Una uhakika gani kama umejiunga kabla yangu?

Una uhakika gani kama hii ndio ID yangu ya kwanza humu JF?

Halafu turudi kwenye mada husika,

Inaonesha kabisa yani una viashiria vyote vya kuishi uswahilini maana hao ndio wanakuwa wanachunguza chunguza hovyo maisha ya watu na roho za kwa nn

Halafu bila shaka unaonesha upo kwenye foolish age ungekuwa mtu uzima usinge andika upupu wote ulio andika.

Mtu mwenye akili zake timamu na anayejiweza kiuchumi hawezi kuhudhuria sherehe za watu na kuwalazimisha wampe bia eti kwa kuwa tu amechangia pesa yake .
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…