Kwa hiyo unachanga pesa ili upewe bia?Nimepata kuhudhuria sherehe ya harusi ya jamaa yangu, licha ya kutoa mchango na kujitoa kwangu kote huko lakini sherehe haina bia wala k vant!
Kiukweli party ya harusi bila bia ni hamna kitu
Hii nimeifuatilia nijue sababu za msingi eti ni uislam unakataza, kama ni hivyo mnachangisha na kufanya sherehe usiku za nini?
Harusi na soda aifai kabisa, walau ata malta juisi lakini zote amna!
Hizi michango yetu mmepeleka wapi?
Kwani kuna ubaya gani pesa inayobaki akafanyia mtaji wa biashara?Kuna watu wanakusanya michango ya harusi na kuifanya mitaji ya kuanzia biashara na maisha. Unashangaa kamatim uchwara inajitutumua kuwa kima cha chini laki moja halafu mwisho wa siku mnanyweshwa soda kama watoto wa kipaimara.
Hata mimi nawashangaa aisee.Aiseee. Si unaweza kununua bia zako kadhaa na kuhudhuria nazo. Na kunywa unavyotaka
Tatizo hela haibaki, inalazimishwa kubaki. Kama mtu anataka mtaji wa biashara aende NMB, CRDB, NBC au FINCA😛😛Kwani kuna ubaya gani pesa inayobaki akafanyia mtaji wa biashara?
Kwani unalazimishwa kuchangia shughuli?Tatizo hela haibaki, inalazimishwa kubaki. Kama mtu anataka mtaji wa biashara aende NMB, CRDB, NBC au FINCA😛😛
Sometimes watu wa hivi kulewa paka sherehe hadi sherehe nyingine.Hata mimi nawashangaa aisee.
Yaani anavyolalamika kana kwamba analazimishwa kuchangia.
Hizo mbona nzuri tu, cha msingi unaenda na chupa zako -Kvant, konyagi, Grants... wale wa dompo... Hata Jack Daniels zinaruhusiwa.
Sio kwamba hawana mpunga wa kuweka hivyo vinywaji ila kuna famila zingine swala la pombe ni marufuku sasa unapojinunulia uwende nazo unakuwa umewakosea.Aiseee. Si unaweza kununua bia zako kadhaa na kuhudhuria nazo. Na kunywa unavyotaka
Kwenye sherehe za kiislam za ukumbini hata kuingia na Wine au pombe nyingine ukumbini hawaruhusu kabisa....na unakuta ni harusi ya usiku.Hizo mbona nzuri tu, cha msingi unaenda na chupa zako -Kvant, konyagi, Grants... wale wa dompo... Hata Jack Daniels zinaruhusiwa.
Kunywa home kabla hujaendaSio kwamba hawana mpunga wa kuweka hivyo vinywaji ila kuna famila zingine swala la pombe ni marufuku sasa unapojinunulia uwende nazo unakuwa umewakosea.
-Ndumilakuwili-
Si ushukuru Umepewa soda, Sasa kwa wasabato hata sodani sumu, unapewa maji tu. Tukubaliane na mazingira yote.
Sent using Jamii Forums mobile app