Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,733
- 239,354
Ni kweli kwamba nchi yetu ilikuwa inahitaji uwanja mkubwa wa soka na wa kisasa pia , lakini mahali ulipojengwa hapakuwa sahihi .
Kwamba hapo ulipojengwa uwanja mpya palikuwa na uwanja mwingine ulioitwa uwanja wa uhuru ( shamba la bibi ) , kulikuwa na haja gani ya kuweka uwanja mwingine karibu yake , kwanini isiwe Mwenge , magomeni , chanika ama mahali pengine ?
Hasara ni pale nchi inapokuwa wenyeji wa Tournament fulani , kama vile kombe la Kagame , ambalo hushirikisha timu nyingi tena kwenye viwanja tofauti , huwezi kuweka game kwenye viwanja hivi vyote at the same time , laiti kama uwanja mpya ungejengwa Kawe au mahali pengine hilo lingewezekana .
Washauri wa viongozi mna mapungufu ya kiwango cha juu sana .
Majuto ni mjukuu .