Haikua lazima unipende Caren

Haikua lazima unipende Caren

chlorine gas

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2015
Posts
2,540
Reaction score
2,683
Habari caren

Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia nahisi sintokua sawa tena.

Caren nimekuja kutambua kua kweli upendo /mapenzi hayalazimishwi kama yangekua yanalazimishwa basi kwa jitihada nilizo onesha kwako ningeweza kuibuka kidedea.

Caren ulijua huna hisia na mimi ila kwa nini ulinipotezea muda mpaka kufika hatua ya kukutambulisha kwa ndugu na wazazi pia ??aibu oloniachia haitopotea milele na chozi langu litakusakama kama laana inayomtafuna mtoto wa kiume aonapo utupu wa mzazi wake wa kike

Caren ni juzi tu nilipokuja nyumbani kwako nikakukuta na mwanaume mwingine kwa mikao mliyokaa ilikua haijanibariki kwa kweli inliohoji ukaniambia ni kaka yako lakini nikaja kubahini ni mchepuko wako kati ya wale 3 niliozifuma meseji zao kwenye simu yako

Caren umenifanya niwachukie wanawake wote duniani isipokua mama yangu nina andika haya kwa uchungu kwa nini hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nimepata la kujifunza kupitia wewe Caren

Wanaume wenzangu tuishe na hawa viumbe kwa akili sana Ila
Sintokusahau caren
 
Habari caren

Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia nahisi sintokua sawa tena.

Caren nmekuja kutambua kua kweli upendo /mapenzi hayalazimishwi kama yangekua yanalazimishwa basi kwa jitihada nlizo onesha kwako ningeweza kuibuka kidedea.

Caren ulijua huna hisia na mm ila.kwa nn ulinipotezea muda mpka kufika hatua ya kukutambulisha kwa ndugu na wazazi pia ??aibu oloniachia haitopotea milele na chozi langu litakusakama kama laana inayomtafuna mtoto Wa kiume aonapo utupu Wa mzazi wake Wa kike

caren ni juzi tu nlipokuja nyumban kwako nkakukuta na mwanaume mwingine kwa mikao mliyokaa ilikua haijanibariki kwa kweli nliohoji ukaniambia ni kaka yako lakini nikaja kubahini ni mchepuko wako kati ya wale 3 nliozifuma meseji zao kwenye cm yako

Caren umenifanya niwachukie wanawake wote dunian isipokua mama yangu nna andika haya kwa uchungu kwa nn hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nmepata la kujifunza kupitia ww caren

Wanaume wenzangu tuishe na hawa viumbe kwa akili sana
Ila
Sintokusahau caren
Wanawake wamekosa nini had uwachukie
 
Sasa mkuu ushafumania msg ya michepuko 3 alafu unakuja kuumia baada ya kukutwa kapakatwa na mchepuko mmojawapo? Huna haja ya kuwachukia wanawake wote utajipa tabu tu, kumbuka maisha yanaendelea soon utatokea kupenda tena
 
Habari caren

Salamu zikufikie popote ulipo hata kama uzi huu utaupitia basi ujumbe ukufikie najua ni vigumu kuandika haya ila imebibidi kutokana na haya nnayopitia nmedhoofu kimwili na akili pia nahisi sintokua sawa tena.

Caren nmekuja kutambua kua kweli upendo /mapenzi hayalazimishwi kama yangekua yanalazimishwa basi kwa jitihada nlizo onesha kwako ningeweza kuibuka kidedea.

Caren ulijua huna hisia na mm ila.kwa nn ulinipotezea muda mpka kufika hatua ya kukutambulisha kwa ndugu na wazazi pia ??aibu oloniachia haitopotea milele na chozi langu litakusakama kama laana inayomtafuna mtoto Wa kiume aonapo utupu Wa mzazi wake Wa kike

caren ni juzi tu nlipokuja nyumban kwako nkakukuta na mwanaume mwingine kwa mikao mliyokaa ilikua haijanibariki kwa kweli nliohoji ukaniambia ni kaka yako lakini nikaja kubahini ni mchepuko wako kati ya wale 3 nliozifuma meseji zao kwenye cm yako

Caren umenifanya niwachukie wanawake wote dunian isipokua mama yangu nna andika haya kwa uchungu kwa nn hukiniambia mapema mpaka imefikia hatua ya mwisho ndo umeonesha makucha ?? Ila asante nmepata la kujifunza kupitia ww caren

Wanaume wenzangu tuishe na hawa viumbe kwa akili sana
Ila
Sintokusahau caren

Pole sana kaka, hawa viumbe huwa wana tabia ya kubadilika badilika kama kinyonga hivyo yatupasa kuishi nao kwa akiri.Usimpende sana mwanamke mpaka akajua kwamba bila yeye huwezi ishi.Wanawake wengi huwa hawajui nini hasa wanahitaji katika maisha na mahusiano kwa ujumla.Naamini hao wanaompa jeuri ni wakupita tu, naamini kuna siku atakutafuta tu mark my words brother.Najua unapitia wakati mgumu sana ila vumilia wewe ni mtoto wa kiume, kwasasa usihangaike kumtafuta kabisa ikiwezekana futa na mwasiliano yake nakila kitu ambacho kinamuhusu yeye ikiwemo picha zake.Kama alipangwa kuwa na wewe basi atarudi tu ila atakaporudi usimuamini tena kwa asilimia zote mana ameshakuvunja moyo.Ni bora kuhisi kwamba mpenzi wako anachepuka kuliko kushuhudia live.

Ila nakushauri tu kwamba next time ukiwa na mwanamke na kaanza kukusumbua tafuta mbadala wake kimyakimya ili ukiachana nae hupati sana maumivu na ndomana wanaume tunashauriwa kuwa na wanawake angalau wawili, najua wanawake wengi watapingana na hili ila huo ndio ukweli.

Nikutakie siku njema.
 
Pole kaka ndo unakomaa ivo usimuhukumu huenda yuko sawa mwache aende haikua ridhiki yako ....Moveon be a gentleman usiyumbishwe na wamama kumbuka sio jukumu LA mwanamke kukupenda yeye jukumu lake ni kutii basi kwaio ukiona mambo hayakuendei fresh shukuru Mungu u never know myb kuna jambo kakuepusha nalo so be grateful for everything...
 
Mleta mada ninaswali naomba unijibu, Hivi ikitokea mtoto wakiume umeuona uchi wamama yake kwabahati mbaya tayari anakuwa nalana?
 
Back
Top Bottom