Haijaisha mpaka iishe, Simba tunaenda kupindua meza Misri, Tunaweweza!

Ni kweli hawana jipya ,, mchele mchele tu akina tau analipwa milioni 200 ni mavi tu,, ila sisi hatuna washambuliaji, kwaio watapita sio kwamba watapita kwakua wanajua mpira wa kutisha dunia na afrika bali watapita kwa uzoefu tu ..
Tunaenda kukutana nao fainali hao halafu ndio watatueleza waliwafungaje
 
Hawa watu wamechanganyikiwa
Muulize mara ya mwisho ahly kutolewa robo fainali ilikua lini
Yanga mara ya mwisho kufika robo ilikuwa lini? We sema Simba haina kikosi cha kuitoa ahly sio mambo ya mara ya mwisho ilikuaje.
 
Yanga mara ya mwisho kufika robo ilikuwa lini? We sema Simba haina kikosi cha kuitoa ahly sio mambo ya mara ya mwisho ilikuaje.
Namshukuru Mama Samia Hassani Suluhu kwa kutusaidia kufungwa goli moja
 
Reactions: Tsh
Naunga mkono hoja mjumbe...
 

Haya maneno yako ni kweliiii au ni mimi ndio naona vibaya...?
 
Kwa Wachezaji hawa hawa Walioshindwa kufunga jana? Hiyo ni NDOTO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…