SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 308 May 4, 2013 #1 hivi unadhani kwanini? Attachments 255714532904.jpg 49.2 KB · Views: 255
denoo49 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 6,113 Reaction score 6,953 May 4, 2013 #2 Ogopa Mchina kabisa maishani mwako. Siku hiyo noti ya kwanza inaenda kufanyiwa modefication waliwaona hao wanyama wakaona ni bora waanze kwa kuwatoa kwenye muonekano wa noti zen ndo'waje wawachukue phisically wakujua mtakua mmeisha wasahau.
Ogopa Mchina kabisa maishani mwako. Siku hiyo noti ya kwanza inaenda kufanyiwa modefication waliwaona hao wanyama wakaona ni bora waanze kwa kuwatoa kwenye muonekano wa noti zen ndo'waje wawachukue phisically wakujua mtakua mmeisha wasahau.
kwamtoro JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 4,922 Reaction score 3,245 May 4, 2013 #3 Ha ha ha! Umetisha
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,717 Reaction score 13,443 May 4, 2013 #4 Sina hakika kama nimeelewa.
SUPERUSER JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 960 Reaction score 308 May 4, 2013 Thread starter #5 Mjuni Lwambo said: Sina hakika kama nimeelewa. Click to expand... noti za saiv zinawai sana kuchakaa tofauti na za zaman...au ksh
Mjuni Lwambo said: Sina hakika kama nimeelewa. Click to expand... noti za saiv zinawai sana kuchakaa tofauti na za zaman...au ksh
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,924 Reaction score 4,595 May 4, 2013 #6 Mjuni Lwambo said: Sina hakika kama nimeelewa. Click to expand... Ni filosofa kubwa katumia, pengine twahitaji kunywa kiroba tutambue zaidi, kiroba cha konyagi chauzwa buku moja ( elfu moja ) kama iliopo pichani
Mjuni Lwambo said: Sina hakika kama nimeelewa. Click to expand... Ni filosofa kubwa katumia, pengine twahitaji kunywa kiroba tutambue zaidi, kiroba cha konyagi chauzwa buku moja ( elfu moja ) kama iliopo pichani
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,717 Reaction score 13,443 May 4, 2013 #7 PhD said: Ni filosofa kubwa katumia, pengine twahitaji kunywa kiroba tutambue zaidi, kiroba cha konyagi chauzwa buku moja ( elfu moja ) kama iliopo pichani Click to expand... Nani kakwambia kiroba ndio kinasababisha mtu aelewe zaidi?
PhD said: Ni filosofa kubwa katumia, pengine twahitaji kunywa kiroba tutambue zaidi, kiroba cha konyagi chauzwa buku moja ( elfu moja ) kama iliopo pichani Click to expand... Nani kakwambia kiroba ndio kinasababisha mtu aelewe zaidi?
Mjuni Lwambo JF-Expert Member Joined Apr 25, 2012 Posts 11,717 Reaction score 13,443 May 4, 2013 #8 anonymous_007 said: noti za saiv zinawai sana kuchakaa tofauti na za zaman...au ksh Click to expand... Mleta thread njoo ufafanue umemaanisha nini, maana yake tumeanza kumbwela tu.
anonymous_007 said: noti za saiv zinawai sana kuchakaa tofauti na za zaman...au ksh Click to expand... Mleta thread njoo ufafanue umemaanisha nini, maana yake tumeanza kumbwela tu.