Sina hakika kama nimeelewa.
Nani kakwambia kiroba ndio kinasababisha mtu aelewe zaidi?Ni filosofa kubwa katumia, pengine twahitaji kunywa kiroba tutambue zaidi, kiroba cha konyagi chauzwa buku moja ( elfu moja ) kama iliopo pichani
Mleta thread njoo ufafanue umemaanisha nini, maana yake tumeanza kumbwela tu.noti za saiv zinawai sana kuchakaa tofauti na za zaman...au ksh