SIO kuwa tumeanza...ila ndio ufahamu ndio inayotawala dunia......Siku hizi mambo yapo wazi kama wewe ni mtu wa kwenda kidigital zaidi....Read websites, use search engine ipasavyo utasoma kila kitu kilichopo ulimwenguni....vipoo...Chunguza utabaini...Tumia muda wako mwingi kusoma vitabu, websites, za kizungu na kiswahili utapata mambo yadunia utaelewa vitu vingi sana