Haichekeshi

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,719
Reaction score
14,124
Baada ya mc kujaribu kila namna ili kuufanya ukumbi,uchangamke kwa furaha ya utani wa hapa na pale.
Alijikuta kapoteza muelekeo na kumtania bibi harusi ambaye alikuwa kashika kipaza sauti tayari kwa kutambulisha nduguze.
mc:bibi harusi huyu ametua na ndege leo toka .....
b.harusi:asante ndugu mc
mc:ni mtoto mpya kabisa
b.harusi:asante ndugu mc
mc:ni mtoto wa geti kali
b.harusi:haichekeshi
mc: nakusifia ujue hii ni shughuli yako
b.harusi:haichekeshi
mc:au sababu sikuwapunguzia bei nini
b.harusi:haichekeshi
mc:basi ukumbi makofi kwa bibi harusi tafadhali
b.harusi:haichekeshi
 
aaaahaaa mbavu zangu jamani, hii haichekeshi lakini nimecheka sana! uuuuwhi!
 
aaaahaaa mbavu zangu jamani, hii haichekeshi lakini nimecheka sana! uuuuwhi!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…