Haichekani na strabag

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,869
730,479
b9379c0dfccf06da3c176fd247ed1d50.jpg
 
Hii imetengenezwa kiutalii zaidi sabab ukiangalia kwa umakin balabala ingeweza kujengwa straight
 
Hii imetengenezwa kiutalii zaidi sabab ukiangalia kwa umakin balabala ingeweza kujengwa straight
Hapana mkuu, angle ya camera inafanya uone pa kawaida, sisi tuliotokea nyanda za juu tunajua akili sahihi imetumika hapo
 
Sio Burundi hii?? Aliyewahi enda huko kwa njia ya gari aitaifananisha na bugarama ama ndio yenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom