Haiba ya Kinana na CCM

Hakika ww ni miongoni mwa watu waliolaaniwa na watanzania,watu tunajadili mambo ya maana ww unaleta uselamavi ww choko vipi acha kutumika nyamapori ww.

Yakhe mbona matusi yamekuwa mengi?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama,

Dawa ya mpuuzi ni kuwapuuza tu hakuna cha zaidi.

Mkuu Ritz
Kamanda kaishiwa na hoja nilishamtema siku nyingi ana ID nyingi akila ban atarudi kwa jina jingine

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:

Kinana ni dini gani?
 
there is a thin line between MSOMALI and PEMBE ZA NDOVU.
Hii inajulikana toka enzi hizo.
Uliza sababu za wasomali kuwepo karibu na miji inayopakana na mbuga za wanyama e.g Galapo - manyara
 
Mkuu chama,

Dawa ya mpuuzi ni kuwapuuza tu hakuna cha zaidi.

Umesema "Dawa ya mpuuzi ni kuwa wapuuza" nadhani kwa hoja mnazoleta kwenye huu uzi nyie mnapaswa kupuuzwa lakini kwa vile hekima za wachangiaji zimetawala na kutambua kuwa hakuna upuuzi ulio kuwa upuuzi mtupu bila kuhitaji kiwango kidogo cha stara na hekima wanajitahidi kuwarejesha kwenye mstari ili mjadili hoja.

Haya acheni upuuzi wenu rudini kwenye hoja, hoja inayo husu haiba ya kinana na ccm. Mmesikia basi la mtei limetaifishwa kwa amri ya mahakama baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha wahamiaji haramu. Vipi kuhusu Kinana ambaye amekiri kuwa kampuni niya kwake na kampuni hiyo hiyo ndio imekamatwa na nyara za taifa ambazo hata sheria za kimataifa zinakataza usafirishaji na uuzaji wa nyara hizo?!
 
Last edited by a moderator:

Mkuu chama,

Huyu kamanda wa sinema za kihindi naona anajichanganya mtu anaporomosha matusi ukimpuuza kuna tatizo. Hapa hakuna mada ya kutukimbiza ni pumba tupu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,

Huyu kamanda wa sinema za kihindi naona anajichanganya mtu anaporomosha matusi ukimpuuza kuna tatizo. Hapa hakuna mada ya kutukimbiza ni pumba tupu.

Mkuu Ritz
Leo ijumaa unajua pumba wanazimwaga wakiwa mtaa wa Togo kesho ofisi inafungwa; wasamehe

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Hakika ww ni miongoni mwa watu waliolaaniwa na watanzania,watu tunajadili mambo ya maana ww unaleta uselamavi ww choko vipi acha kutumika nyamapori ww.

Ndugu yangu achana na hao ndio ajira yao wasipofanya hivo hawataenda chooni ....... id moja inatumika na watu kumi wapo kazini 24/7
 
Acha upimbi jifunze taratibu za usafirishaji kutumia wakala; hata ukienda FEDEX; DHL mwenye mzigo ndiye anaye declare nini anatuma wakala kazi yake ni kusafirisha na hicho ndicho kilichofanyika.

Chama
Gongo la mboto DSM

Pimbi ni yule anayejaribu kumsafisha jangiri huku akijuwa kuwa jangiri hasafishiki isipokuwa ni kufungwa jela tu.
 
Pimbi ni yule anayejaribu kumsafisha jangiri huku akijuwa kuwa jangiri hasafishiki isipokuwa ni kufungwa jela tu.

Tatizo lako kubwa ni kelele huna uwezo wa kuziweka pembe mikononi mwa Kinana umeamua kwa makusudi kujigeuza pimbi; umetawaliwa na dhana kuliko ukweli wenyewe na huo ndio upimbi wenyewe; hebu jifundishe neno hili "doubtful" ukielewa maana yake kwa kina rudi jamvini; usiongee kama chizi maarifa!

Chama
Gongo la mboto DSM
 

Hata akishuka malaika kutoka mbinguni kuja kukuelimisha kuhusu ubaya wa msukule wako unaojitahidi kuusafisha hutamuelewa.Endelea kuusafisha msukule wako nayo ni demokrasia.
 
chama na Ritz mpaka sasa mmeshindwa kujadili kwa kugusa ingalau mzizi wa mada na kujikita kwenye hoja. Mna mbwelambwela tu kwa maneno ya kuokoteza ili kukwepa hoja za msingi.

Naomba mnijibu haya acheni porojo.

1. Je haiba ya kinana kwenye raslimali za nchi hasa pembe za ndovu ina faa kutiliwa mashaka?! Kama 'ndio' ni kwa nini na kama jibu ni 'sio' ni kwa nini?

2. Kutaifishwa kwa basi la Mtei kwa kubeba wahamiaji haramu huku kampuni ya katibu wa chama nayo ikikamatwa na nyara haramu na yeye kukiri kuwa kampuni ni yake huku mpaka sasa hakuna hatua zozote zilizo chukuliwa dhidi yake ni double standard yenye kulindana au siyo?
 
Last edited by a moderator:

CCM haijawahi kuwa makini hata siku moja na wala haina watu walio makini wanaoweza kukifanya kikawa chama makini.
 
Wanaona wazee wa tilalila wameamua kuingia mitini baada ya kushindwa kuja kujibu hayo maswali hapo juu! Ukizoea pumba ni vigumu kuuchagua mchele.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…