wewe kweli gongo la mboto.yaani matatizo ya wtu binafsi unayawekea mkazo lakini yale yanayohusu taifa unaona ni kawaida.huyo josephine anakupa taabu sana usiku na mchanaKama hoja ni ushahidi mh. Kinana aliweka wazi pamoja ya kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki; wao kama wakala wa kusafirisha mizigo hawahusiki kukagua mzigo hilo ni jukumu la mamlaka husika; wanaopaswa kuulizwa ni wafanyakazi wa mamlaka zinazohusika waliofanya ukaguzi wa mzigo; msafirishaji anachopatiwa ni vielelezo au documents zinazoonyesha ni vitu gani vimo ndani ya kontena; na Kinana pamoja na kuwa ni mmoja wa wamiliki yeye hausiki na daily operations za kampuni ni kitu gani hapo ambacho umeshindwa kuelewa? Siwezi kushangaa na uelewo wa vichwa vyenu si nyie ndio mnaotuhabarisha Josephine eti ni mke wakati dunia nzima inajua kama Josephine ni kimada fungeni hivyo vichwa vyenu mnapoteza muda kujadili mambo ambayo hata mtoto wa darasa la pili anayaelewa.
Chama
Gongo la mboto DSM
Waingie humu!?? ukitaka kuwaona anzisha uzi wako wa kumkashifu Dr. Slaa
Kumbe udaku kuhusu Dr Slaa siyo Pumba lakini ukigusa mafisadi na mijangili ya CCM ni pumba?Mbona nipo napitia pumba zenu.
mkuu pale kwenye walakin wa wazi tuna kubali mkuu.kwa sababu kwa hoja nzito kama hii iliotolewa hapa, ni ngumu kumtetea huyu ndugu; lakini kwa kuwa nina uhakika anapita humu jukwaani namsihi sana ujibu hoja hii ili kuweka sawa mambo.zaidi ya hapo kwa kweli hapa kutakuwa kuna tatizo tena kubwa.Toka nianze kuona michango yako.. leo ndo nimeona comment yako ambayo imewakilisha ur true opinion.. Mambo mengine kuyapinga haimaanishi u ain't loyal kwa ur party..
wewe kweli gongo la mboto.yaani matatizo ya wtu binafsi unayawekea mkazo lakini yale yanayohusu taifa unaona ni kawaida.huyo josephine anakupa taabu sana usiku na mchana
ulitaka umchukue wewe???vimada ulionao wewe huoni,?huna pointi ya kulitete hilo jambazi lenu .
rasilimali ipi iliyotumika yenye madhara kwa taifa??bora sie wenye vichwa vigumu kuliko nyie vichwa viazi.si ndio maana nasema makamanda mna vichwa vigumu! Hata hilo la ulezi lina maslahi kwa kitaifa liangalie kwa kina!
Chama
gongo la mboto dsm
rasilimali ipi iliyotumika yenye madhara kwa taifa??bora sie wenye vichwa vigumu kuliko nyie vichwa viazi.
Ongezeko la vibaka na machangudoa ni matokeo ya kukosa malezi kwa watoto hasa baada ya baba zao kuwakimbia huo ni mzigo mkubwa kwa taifa; kichwa sio kigumu bali ni tutusa afadhali kiazi
Chama
Gongo la mboto DSM
Ongezeko la vibaka na machangudoa ni matokeo ya kukosa malezi kwa watoto hasa baada ya baba zao kuwakimbia huo ni mzigo mkubwa kwa taifa; kichwa sio kigumu bali ni tutusa afadhali kiazi
Chama
Gongo la mboto DSM
Kama hoja ni ushahidi mh. Kinana aliweka wazi pamoja ya kuwa yeye ni mmoja wa wamiliki; wao kama wakala wa kusafirisha mizigo hawahusiki kukagua mzigo hilo ni jukumu la mamlaka husika; wanaopaswa kuulizwa ni wafanyakazi wa mamlaka zinazohusika waliofanya ukaguzi wa mzigo; msafirishaji anachopatiwa ni vielelezo au documents zinazoonyesha ni vitu gani vimo ndani ya kontena; na Kinana pamoja na kuwa ni mmoja wa wamiliki yeye hausiki na daily operations za kampuni ni kitu gani hapo ambacho umeshindwa kuelewa? Siwezi kushangaa na uelewo wa vichwa vyenu si nyie ndio mnaotuhabarisha Josephine eti ni mke wakati dunia nzima inajua kama Josephine ni kimada fungeni hivyo vichwa vyenu mnapoteza muda kujadili mambo ambayo hata mtoto wa darasa la pili anayaelewa.
Chama
Gongo la mboto DSM
swala siyo ushahidi.wala siyo kuwaleta tembo kutoka porini kuja kumtetea Kinana kama ulivyo eleza kwa sababu hata wewe mwenyewe unafaham kuwa tembo hawezi kutolewa mbugani kuja kumtetea.haya ndiyo majibu ya kisanii niliyoyasema.kama tembo wanaweza kumtolea kinana ushahidi kwa mtazamo wako wewe basi ushahidi wenyewe utakuwa ni wa kilio cha kueleza jinsi wanavyo uawa na kung'olewa meno.hoja iliyopo hapa ni kwamba ukiwamwovu mahali salama kwa mtu mwovu ni ccm.ndiyo maana kinana amekiri kuwa kampuni ni yake lakini kampuni yake hajachukuliwa hatua yoyote wakati wengine vyombo vyao vinakamatwa na kusiziwa.maadili ya uongozi yanakataa kiongozi kuwa na kampuni binafsi lakini kinana amekiri waziwazi kuwa anayokampuni na kampuni yake imefanya uharifu bado anaendelea kuwa kiongozi.swala la josephene hapa linahusika vipi wakati kinachoelezwa hapa ni kinana na meno ya tembo.ccm na uharifu ni kama mfuniko na chupa ya bia.
Watu wajinga sana,kinana hana meli alikuwa wakala wa meli,kilichokuwa ndani ya kontena wenye mamlaka ya kufungua na kukagua ni TRA,yeye anaangalia dokomenti tu,kama zimeruhusiwa basi, chandani akagui tena kwa sababu TRA wanaweka seal na wameruhusiwa kisheria.pia ufafanuzi aliutoa 2010 wakati wa kampeni, baada ya jambo hili kutiwa chumvi sana tu.leo linaibuka tena.
Heri Yako wewe,I now believe you are GT,you call a spade a spade siyo Hawa kina ch....na Ri.....kucha kutetea hata ambavyo havistahili kabisa.....mkuu pale kwenye walakin wa wazi tuna kubali mkuu.kwa sababu kwa hoja nzito kama hii iliotolewa hapa, ni ngumu kumtetea huyu ndugu; lakini kwa kuwa nina uhakika anapita humu jukwaani namsihi sana ujibu hoja hii ili kuweka sawa mambo.zaidi ya hapo kwa kweli hapa kutakuwa kuna tatizo tena kubwa.
Aliyemroga you hai na Ndio maana anajitambua alishatengua uchawi wewe Wako hayuko hai angekuhurumia angalau ili ujitambue piaNa aliyekuroga wewe yupo hai?
Chama
Gongo la mboto DSM