Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,498
- 29,224
CMD ndo nini?Poleni wana CMD. Hivi kama hatatakaswa na mahakama kama alivyofanyiwa Alhaji Rage baada ya kukata rufaa ataweza kugombea ubunge ama Urais?
Mkuu huyo aliyepigwa anaweza kufungua kesi ya madai yaani tort.
Chenge aligonga akaua tena kwa kutumia gari mbovu isiyo na vibali na kagombea tena, itakua hii ya kumzaba mtu kibao