Hai Bebi

Naby Keita

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,716
15,277
Haha this Chick alikua anaenda kupanda daladala, konda akamwambia....
"Hai Bebi..."

Dame akasmile akajibu.... "Fresh tu"
Konda akamtell tena.... "Hai Bebi"
Huyu dame, kinda pissed off....
"hizi salamu nazo, si nimekujibu!" then akaingia kwenye dala dala...

Konda akamshoutia....
"Wewe ni nini unazusha?
Nakwambia hii gari Hai Bebi"
 
Asante, kiswahili ucpockia vzr ni ishu..
Sista du kajipoteza kwenye himaya ya konda
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom