Uswiss JF-Expert Member Joined Oct 15, 2016 Posts 841 Reaction score 2,169 Jul 7, 2021 #2 bado waganga hawajaja usiku kuogea hapo na kuvunja nazi... Kweri hamna kupumzika
The Dictator JF-Expert Member Joined Jul 20, 2018 Posts 4,449 Reaction score 12,220 Jul 7, 2021 #3 Bado kaburi halijafanywa guest house😂😂
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,937 Reaction score 22,382 Jul 7, 2021 #4 Madogo wanafulahia tiles hizo hawana hata habari ya kilichomo ndani.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,942 Reaction score 195,685 Jul 7, 2021 #5 Hapo kuna ugagula unafanyika... Watoto mapema hawana uwoga na makaburi unadhani watakuja kua na uwoga na serikali yao...
Hapo kuna ugagula unafanyika... Watoto mapema hawana uwoga na makaburi unadhani watakuja kua na uwoga na serikali yao...
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Jul 7, 2021 Thread starter #6 King Mufasa said: Bado kaburi halijafanywa guest house[emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] kino moja
King Mufasa said: Bado kaburi halijafanywa guest house[emoji23][emoji23] Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23] kino moja
donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Jul 7, 2021 Thread starter #7 Smart911 said: Hapo kuna ugagula unafanyika... Watoto mapema hawana uwoga na makaburi unadhani watakuja kua na uwoga na serikali yao... Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Smart911 said: Hapo kuna ugagula unafanyika... Watoto mapema hawana uwoga na makaburi unadhani watakuja kua na uwoga na serikali yao... Click to expand... [emoji23][emoji23][emoji23]
Wang Shu JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 2,573 Reaction score 3,757 Jul 7, 2021 #8 Uswiss said: bado waganga hawajaja usiku kuogea hapo na kuvunja nazi... Kweri hamna kupumzika Click to expand... bado kuchotwa mchanga wa kaburi.
Uswiss said: bado waganga hawajaja usiku kuogea hapo na kuvunja nazi... Kweri hamna kupumzika Click to expand... bado kuchotwa mchanga wa kaburi.