bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
sponsor wangu hataki nipendeze wala niwe na kitu chochote kizuri et kisa ananilipia ada alafu u can imagine am taking my second degree yaan nikienda kuonana naye naendaje rafu sitakiw kuwa hata na simu inayozidi elfu 50.... yaan sijui nifanyaje umaskin nomaaah
Hivyo vitu vizuri wavinunua kutokea fungu gani la pesa?
umemaliza, kuna hulka yetu wabongo kupania kupendeza wakati vitu vya msingi hatuvipi kipaumbele,umeshawaona wanawake wa kiswahili wale wanaoning'iniza dhahabu kedekede shingoni na mipete vidole vya mikono yote halafu bahatika kuona maisha ya watoto wao,lishe yao,shule wasomazo yaani ni huzuni tupu.

I miss you christine Ibrahim, merry xmassMhh ni sponsor tu! !?
by the way kwani kuwa rafu unapoenda kuonana nae tu ni tatizo?
ukitoka hapo c km kawaida tu jamani!
labda amegundua una matumizi mabaya
you have spoken mydearAnakufundisha kuwa responsible na pesa ambayo yeye ameitolea jasho.
Nidhamu ya pesa na vipaumbele ni tatizo la watanzania wengi, na ndio maana mawaziri wanaahirisha safari wasipopata 1st class ticket.
Hata kama ni fungu lake msaidiwa; kama ananunua iPhone5 huyu mtu anastahili ufadhili kweli?
Anakufundisha kuwa responsible na pesa ambayo yeye ameitolea jasho.