magicianboy
Member
- Jun 18, 2012
- 57
- 24
Wapo ila kwa kweli ni wachache!
Mi ni mzungu na nina mwanya mbona
Mi sijawahi kuona, na najua hawapendi aina hiyo ya dental formula
Mzungu mwenye kithembe je??
Wazungu hapana,ila latino america na africa kawaida sana kuwa na mwanya
hehehe ndo mana utafiti wangu unaamin haka nako n kaugonjwa bongo...
Unaweza kuwa hauko mbali na ukweli
Labda wapo
Mzungu mwenye kithembe je??
Wapo wengi,tatzo wazungu wenyewe kuwaona hadi ucheck movie