hahahaaaaa nimecheka sana habari hiiii

hahahaaaaa nimecheka sana habari hiiii

sixgates

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
3,979
Reaction score
1,673
Mwizi alibomoa nyumba akaingia kkt stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka, akaonja kimoja akaona kitamu kina chumvi! Akafurah akakaa chini akala vyote alipomaliza akaangalia juu ya mlango akaona pameandikwa chumba cha kutahiria, Akazimia baada ya kujua amekula MAGOVI!!
 
Mkuu nimecheka sana,hiyo adhabu ilimtosha kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom