Si bure either umetumwa na wamagamba au umeamka na 'hangover'
Nadhani hapo ndipo akili yako ilipogoti. Uandishi wa habari ni taaluma yenye ethics zake. Wewe kwa akili yako unadhani hiyo ndiyo ingekuwa habari lakini habari ni hiyo iliyoandikwa na gazeti la Mwananchi. Kwa ujumla, ccm ndiyo iliyoshindwa uchaguzi maana imenyang'anywa baadhi ya kata na mpinzani wake mkuu chama tawala kijacho cha cdm. Na katika hili nitawashangaa sana wanachama wa ccm kama watashangilia.Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....
Nadhani hapo ndipo akili yako ilipogoti. Uandishi wa habari ni taaluma yenye ethics zake. Wewe kwa akili yako unadhani hiyo ndiyo ingekuwa habari lakini habari ni hiyo iliyoandikwa na gazeti la Mwananchi. Kwa ujumla, ccm ndiyo iliyoshindwa uchaguzi maana imenyang'anywa baadhi ya kata na mpinzani wake mkuu chama tawala kijacho cha cdm. Na katika hili nitawashangaa sana wanachama wa ccm kama watashangilia.
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....
CDM baadaeee sanaaaaa....

Hivi ukiwa ni yule mtu wa mwaka 47 ukawa na watoto 26 wakafa 4 ghafla unajipongeza kwa kufiwa au kwa kubaki na hao 22
Angalau umekubali kuwa maneno "ccm itatawala milele" hayana mashiko!
Si bure either umetumwa na wamagamba au umeamka na 'hangover'
swali zuri mkuu!
Gazeti la Mwananchi limepigwa marufuku kuandika mazuri ya CCM, maana leo CCM imeshinda kata 22, wameshindwa kusema hilo badala yake wanaandika CCM IMEPOTEZA VITI VINNE.....tatizo la akili ya kushikiwa........KAMA AMBAVYO VI CDM VITAKAVYOKUJA KUPAMBANA HAPA KUISHAMBULIA THREAD HII....MOODS MSIIUNGANISHE POPOTE TUONGEE KWA UHURU....
Binafsi sijakusoma, ngoja nipite tu...