*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*
*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*
SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU
*Kwa jinsi navopenda biashara na hii mvua nataman niseme nauza matope na manyunyu kwa jumla na reja reja*
Nilitamani nikutane nawe Mr Mshana nadhani kuna vitu vingi unavifahamu kumbe hata huku upo ?*John Sanga alikuwa na mwanafunzi Mchoraji, Siku mwoja alichora Noti ya shilingi elfu kumi kwenye sakafu, Mwalimu alipo ingia Darasani ghafla akajikwaa na kupasuka pua .... Wakati alipo kuwa anakimbilia ile hela kuiokota, akauliza wanafunzi nani aliye chora hapo chini? Wanafunzi wote wakamtaja John, mwalimu akaamua kumpigia simu Baba yake john(Mzee Sanga) Mzee Sanga akapokea akiwa hospitalini kalazwa, Mwalimu akamweleza makosa ya mwanae Mzee Sanga akamwambia Mwalimu afadhali yako wewe umepasuka pua hujalazwa, Huyo Mbwa jana kachora uchi wa mwanamke kwanye soket ya umeme*
*UNAHISI MZEE SENGA KAUMIA WAPIII !!!*
SITUMIII VIROBA WALA BANGI WANGU UGORO TUU