Hahaha, Diamond hapa utatokea wapi?

Kweli ushabiki ni mbaya hivi kuna nyimbo imehit Zaidi ya nan kama mama?
Hiv ni kweli mwana ni video bora?
Anachofanya diamond ni kuonyesha watu kua anaweza kuimba mziki wa aina yoyote kulingana na mashabiki wake.

Khaaakhaaaa khaaaa et nani kama mama !! Mbele ya mwana ebu Fanya uchunguzi
 
Atuna shida na tunzo za nyumbani team diamond sisi tunataka za mbele siyo hizi za bongo tusha zichoka
 
atapata tuzo ya TAARABU
Mnadharau Taarabu wakati imeshika namba 7 kwenye Top 10 za Beat FM Ya jijini Lagos!Na Diamond ameshawajulia ndio maana AMEKOMBA Mashabiki karibia asilimia 80% na 20%wengine wanagawana maana anaweza kufanya aina yoyote ya wimbo.
 

Hivi KTMA ndo kila kitu??
 
Utabiri wa muelekeo wa mziki wa bongofuleva kwa kifupi: Mwaka huu hautakuwa mzuri kwa diamond nchini na Africa kwa ujumla. Tuzo za nyumbani nyingi zitaelekea kwa kiba na dimpoz. Kuhusu mapenzi pia muzamiri katunzi anampango Wa kutinga hospitali kisibiria kichanga chake kabla hakijabemwndwa na baba Wa kambo dayamondi
 

Duh huyo katunzi ni kama watu mlikuwepo kusaidia miguu ichanue au?
 
kwani miguu inachanuliwaga?

Hahaaa inabidi maana waliojua kwa madai yao ya wivu tendo lilitendeka na eti mimba akaingiza lazima walishikilia miguu ki hivi \-/ au /-\ huku macho yakiwatoka na kushabikia
 
Hahaaa inabidi maana waliojua kwa madai yao ya wivu tendo lilitendeka na eti mimba akaingiza lazima walishikilia miguu ki hivi \-/ au /-\ huku macho yakiwatoka na kushabikia

hicho kidash cha katikati ni nini?
 
Duh huyo katunzi ni kama watu mlikuwepo kusaidia miguu ichanue au?

tena laiti wangewaona hawa watu jinsi wanavyopendana wangeona hata aibu kusema eti mimba sio ya diamond,yaani wao wala hawajui na wala diamond hana pressure kwa maana tayari ameshajua kama ni mtoto.wake alivyopima DNA mzurimie wape pole hao wanaosema mimba ni katunzi.
 
Last edited by a moderator:
Nikiona mtu anajiita Team kiba mara Team Diamond namdharau sana na kumuweka kwenye kundi la watoto wanaobalehe maana ndo wanamhemko wa kijinga na ushabiki lakini kijana mtu anayejitambua hawezi kukaa anajiita eti Team kiba au Team diamond.
Wale ni vijana wetu wanafanya mziki tuwape nafasi na support sio kukaa tunawaponda .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…