Ammaar Hussein
Member
- Jun 7, 2014
- 18
- 34
*Mke na mume walikuwa wamelala ghafla mume akaanza kupiga kelele akiwa usingizini asubuhi ilipofika mke akamuuliza mume Wangu mbona ulikuwa unapiga kelele usiku au ulikuwa unaota unakimbizwa?? Mume: yaani bola ningeota nakimbizwa hata na simba mke wangu..lakini nimeota nampigia tena kura magufuli*