katokumbi
Senior Member
- May 19, 2012
- 195
- 77
Usiachane na
mpenzi wako wa sasa kwa mbwembwe kisa
umepata Kipusa kipya unamwaga shombo na
kashfa debe 5...Kisa umepata buzi jipya basi
hatuhemi,unabreak up kwa kiherehere,nyodo,na
kisebusebu,utadhani huyo mpenzi uliyempata Mwili wake umetengenezwa na Eat Some More
Biscuits kwamba ukimbusu anatoa maziwa fresh au
jasho lake linanukia juice ya Aloe Vera.....
Hakuna jipya,ni mihemko tu ya kipya kinyemi,hana
tofauti yoyote ni binadamu tu tena anaweza kuwa
worse zaidi ya uliyemuacha. Ukishindwana na mtu muachane kwa amani,huwezijua utamkuta wapi
akiwa nani na kwenye position gani...We endelea
tu kubreak kwa matusi na kashfa na kuita watu
Tumbili pori uje ukutane nae kwenye Interview
ndo utajua kama kuna Tumbili ni HR Manager ana
ofisi na hana mkia,sura itakushuka kama Bamia iliyooza....
Copy..........,! Msije kusema nimesema mm