Hahah, Relationship hazina adabu,ziko kama Bodaboda,ajali muda wowote tu...

katokumbi

Senior Member
May 19, 2012
195
76
Usiachane na
mpenzi wako wa sasa kwa mbwembwe kisa
umepata Kipusa kipya unamwaga shombo na
kashfa debe 5...Kisa umepata buzi jipya basi
hatuhemi,unabreak up kwa kiherehere,nyodo,na
kisebusebu,utadhani huyo mpenzi uliyempata Mwili wake umetengenezwa na Eat Some More
Biscuits kwamba ukimbusu anatoa maziwa fresh au
jasho lake linanukia juice ya Aloe Vera.....
Hakuna jipya,ni mihemko tu ya kipya kinyemi,hana
tofauti yoyote ni binadamu tu tena anaweza kuwa
worse zaidi ya uliyemuacha. Ukishindwana na mtu muachane kwa amani,huwezijua utamkuta wapi
akiwa nani na kwenye position gani...We endelea
tu kubreak kwa matusi na kashfa na kuita watu
Tumbili pori uje ukutane nae kwenye Interview
ndo utajua kama kuna Tumbili ni HR Manager ana
ofisi na hana mkia,sura itakushuka kama Bamia iliyooza....

Copy..........,! Msije kusema nimesema mm
 
Yamekukuta nini?
 
Duh! nimeipenda hii! Kweli wengine wanasema ishia huna jipya na hiyo baada ya we kumuhudumia na kwa ss bz huna kipato basi basi debe la matusi linakuishia ww, mara si muhangaikaji uwazi vitu nya maendeleo wala vikubwa mara una mawazo kama ya mwanamke tena ya mwenye elimu ndogo. Basi ili mradi anaporomoka. Ss ujui kpt mtu au basi tu kakuchoka bz huna kitu
 
Hahah, we acha tu
 
Usiachane na
mpenzi wako wa sasa kwa mbwembwe kisa
umepata Kipusa kipya unamwaga shombo na
kashfa debe 5...Kisa umepata buzi jipya basi
hatuhemi,unabreak up kwa kiherehere,nyodo,na
kisebusebu,utadhani huyo mpenzi uliyempata Mwili wake umetengenezwa na Eat Some More
Biscuits kwamba ukimbusu anatoa maziwa fresh au
jasho lake linanukia juice ya Aloe Vera.....
Hakuna jipya,ni mihemko tu ya kipya kinyemi,hana
tofauti yoyote ni binadamu tu tena anaweza kuwa
worse zaidi ya uliyemuacha. Ukishindwana na mtu muachane kwa amani,huwezijua utamkuta wapi
akiwa nani na kwenye position gani...We endelea
tu kubreak kwa matusi na kashfa na kuita watu
Tumbili pori uje ukutane nae kwenye Interview
ndo utajua kama kuna Tumbili ni HR Manager ana
ofisi na hana mkia,sura itakushuka kama Bamia iliyooza....

Copy..........,! Msije kusema nimesema mm

mwanamke huwa aachwi bali anawekwa pending ili next tyme umresume tu..
 
....sasa wewe wataka Kula Tu? Ukila lazima na wewe ukubali kuliwa. Sijui nani alitamka haya maneno but acha wenzio nao wale kidogo. Mi wasichana wote walioniacha na walionikataa Leo hii ndio wanakuja kwangu tena hata wale ambao nimewasahau. Tulia watarudi tu
 
Kumbe umeona ndio zao eeh?
 
Imetokea kitambo haha, ndo mana natafuta mke serious

Wewe Kato Kumbi umeshamweleza mama yako kwamba mimi mjomba saudari namsalimia?

Hivi inamaana yule mkwe wetu ndo alikuacha kwa kejeli kiasi hicho?
Ila nilikuambia kwamba yule msichana hakufai, hii ilitokana na tabia mbili tatu nilizozi-note kutoka kwake.

Usihofu mpwaa wangu utampata tu anayekufaa na mwenye uwaledi mzuri tu.
Stay where you are, beautiful queen will come to you.
 
Last edited by a moderator:
Usiachane na
mpenzi wako wa sasa kwa mbwembwe kisa
umepata Kipusa kipya unamwaga shombo na
kashfa debe 5...Kisa umepata buzi jipya basi
hatuhemi,unabreak up kwa kiherehere,nyodo,na
kisebusebu,utadhani huyo mpenzi uliyempata Mwili wake umetengenezwa na Eat Some More
Biscuits kwamba ukimbusu anatoa maziwa fresh au
jasho lake linanukia juice ya Aloe Vera.....
Hakuna jipya,ni mihemko tu ya kipya kinyemi,hana
tofauti yoyote ni binadamu tu tena anaweza kuwa
worse zaidi ya uliyemuacha. Ukishindwana na mtu muachane kwa amani,huwezijua utamkuta wapi
akiwa nani na kwenye position gani...We endelea
tu kubreak kwa matusi na kashfa na kuita watu
Tumbili pori uje ukutane nae kwenye Interview
ndo utajua kama kuna Tumbili ni HR Manager ana
ofisi na hana mkia,sura itakushuka kama Bamia iliyooza....

Copy..........,! Msije kusema nimesema mm
ushauri mzuri sana!
 
Ayaaaaaa! Utapata tu ila mkamue kwanza

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom