Hahaahah unasemaje kwa hii picha ?

huyo ndio askari ngangari sio kama wengine wanajiita askari huku meno yote wanayo
 
anafaa kuwa kiongozi wa mazungumzo yote ya mikwara ya kijeshi kama ya akina Kagame, akitokeza tu wananywea wote
 
Na kwa faida ya wengi humu, MziziMkavu huyu kamanda ni wa kike! Na ndio mrembo kuliko wote ktk jeshi
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa, hapo anacheka au analia? Lakini kwa madem hawaangalii hilo, ni pesa tu, ukute ana dem mkali kuliko miss neddy.
 
Hivi huyu mjeda anaweza kupiga mluzi kweli? Lakini ndio sawa sio unajiita mjeda halafu huna hata kovu moja.
 
Hiri riafande ra sentro riritaka kufana na Kover kwa mbaaali!
 
yote tisa kumi akitaka kula chungwa atakamua kama anakuna nazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ