hapo ni kumyongelea mbali shingo ya huyo nyoka, ukimaliza waliobakia hawana ubavu wa kupanda kwenye mti, watasubiri wee mpaka watajiondokea
hapo ni kudili tu na nyoka,unaweza kumkamata shingo unamnyonga ukishindwa unamrusha mbali,ila kazi ya mkono moja mwingine unabembeahapo ni kumyongelea mbali shingo ya huyo nyoka, ukimaliza waliobakia hawana ubavu wa kupanda kwenye mti, watasubiri wee mpaka watajiondokea