JICHO LA TATU
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 306
- 49
Mi nana hapo tatizo sio dini tuu bali pia ni rangi, 'Uarabu' na 'umatumbi'
Huyo binti age ya 23, bro 27Wapendanao wana umri gani??
Huyo binti age ya 23, bro 27
Kwa nini huyo binti hana msimamo??na kwa nini kaka yako aliwasikiliza wazazi wa binti,eti hawataki waoane kisa ni dini??hapo ndipo swali lilipo..Ndoa ni ya watu wawili,ambao katika muunganiko Mungu husimama kati yao...full stop!!Haijasemwa wazazi husimama kati yao......
Lakini wazazi wana baraka zao nao katika hili