Asante sana kiongoziNashindwa zi-upload hapa maana mafaili ni makubwa. Nenda YouTube kuna channel inaitwa Swahili fairy tales utazikuta nyingi za kutosha.Hata kuzidownload unaweza maana kuna apps nyingi za kukuwezesha kupakua video za YouTube mfano Vidmate.