Hadithi ya mashimo ya mfalme Sulemani

Asante sana chief hii hadithi najifunza mengi... Sanasana umoja ni nguvu si mchezo aisee
 
Shukran nyingi kwako lkn ombi langu naomba kama utatupatia ile ya Allan quaterman na umsolopagas nitafurahi sana ahsante.
 
Nafurahi sana kuckia tena hizi hadithi hk kitabu ninacho hardcopy(ila nikikikuukuu hakina jalada) nakumbuka nilikikipata nikiwa forn4 kwa mtu ambaye hakukithamini kbs nami nikakiokota na kukitunza nimekuja kukisoma nikiwa nadhani miaka 3au4 hv baadae. But nilivyoanza kukisoma sikukipenda uk wa1 ckukioenda nikaacha nikakirudia tena miaka mingine baadae ndo nikakielewa baada ya hapo nimekisoma c chini ya mara tano. Na baada ya uzi huu nataka nikakirudie tena.


Uwizi ni dhambi ila km kuna dhambi niliyoifanya maranyingi zaidi ni kuiba vitabu. Bahati mbaya sana vingi vimepotea ktk mazingira ya kutatanisha. Ninayo pia copy ya things fall apart in swahili version kinaitwa shujaa okonko
 
Hahaah poa sana mkuu tupia basi humu.
 
....... Baada ya miezi sita tulifika kwangu, katika mji wa Durban, na ndipo ninapokaa sasa na kuandika habari hizi. Na sasa nakupeni Kwaherini nyote mliosafiri pamoja nami katika safari hiyo ndefu na ya ajabu kuliko zote nilizosafiri.

MWISHO.
Kamanda shukrani sana kwa riwaya hii ya kusisimua, imeweza kunipeleka nyuma zaidi ya miaka arubaini, nilipoisoma kwa mara ya kwanza!
Shukrani sana...!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…