Hadithi ya kweli ya maisha yangu

hilo jna kama sio geni hivi kwangu
Alishafariki wenzake walimuua alikuwa mwanafunzi wa UDOM alikuwa ni mtu wa makundi Sana hapo musoma.alikuwa na mshikaj wake anaitwa Jigger
 
😂😂
 
Nimetembea sana visiwa vya ukara sema nimeshavisahau..halafu hyo guest ya GREEN PARACHICHI KAMA NIMESHAIONA. Halafu mbona kama Bwisya ni Ukara kabisa na hyo guest ipo ukara? au nimesoma vibaya unasema ipo UK.
Uk maana ya ukerewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…