Hadithi:Tenda wema wende zako

Waliowai kuwatendea wema warembo na kuenda zao bila kungoja feedback wanyoshe mikono
 
mshana jr malizia vipande vilivyo baki. Manake yule jamaa mwenye kofia alimvizia huko ufukweni akataka kumbaka nafikiri. Ila kilicho mkuta alijuta
 
Last edited by a moderator:
mshana jr malizia vipande vilivyo baki. Manake yule jamaa mwenye kofia alimvizia huko ufukweni akataka kumbaka nafikiri. Ila kilicho mkuta alijuta

Yeah lakini ile ilikuwa ni part one na ilishawekwa hapa jamvini
 
Last edited by a moderator:
hii hadithi nzuri.....natamani kujua baada ya hapo ikawaje.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…