Hadithi: Tatoo, ajichora mchoro mwilini akiona cha moto

Hadithi: Tatoo, ajichora mchoro mwilini akiona cha moto

shem naye huko bushi umemchora tattoo nini? Ama zile ni chale na makov dah yan mabakamabaka mwili mzima utazan monitor lizard. Mara ya kwanza nilizan tattoo.

Hamien mjin bana. Yan hela zote za mazao unazopata kwenye mnada unazimalizia kwenye wanzuk na bushtotoz badala yakumuweka shem soapsoap
KUMBE HARAFU ANA FUJO HUMU NDANI
 
Napenda sana kujichora tatoo ila mm mweusi na nikiwa na mpenzi mwenye tatoo dau la kuhonga huongezeka
Dah... nikuunganishe?😛
below7.jpg
 
Ili somo lieleweke vizuri, acha watu wajichore kadri wawezavyo.Ni kwenda na wakati.Kuugua kansa ni ugonjwa wa kitajiri.Tamani kuugua nawe!
VIPI NA WEWE UNAUGUA KANSA YA UBONGO NINI MAANA UMEANDIKA KITAJIRI.
 
Tatoo ni IBADA za kuzimu....waswahili wanatumia hirizi watu weupe wanatumia hiyo kujichora sasa kibongobongo tunapenda kuiga kila kitu bila kujua maana yake ndio maana inakuta MTU anakuwa na matatizo hata hajui yanasababishwa na nini
 
attachment.php

NI kweli kabisa mkuu tuwaelimishe wadogo zetu waache mambo ya kuiga iga
 
Back
Top Bottom