Hadithi: Mwekanadhiri na shetani

Hii simulizi ilikua kwenye kitabu cha kiswahili shule ya msingi miaka 90s....
 
Kipande cha mwisho nilikipoteza story imeishia kati
Kwa kumbukumbu zangu tafuta kitabu cha kiswahili darasa la saba mtaala wa miaks ya 90s....sehemu ya tatu alienda kwa mtabiri wa malimwengu akashauriwa arudi tena msituni huko shetani alimwambia awape marafiki zake ...aliporudi kwa mtabiri akamwambia marafiki wa shetani ni wezi na wanyang'anyi so aende mitaani usiku akikutana watu wenye mashoka na mapanga basi awape hizo pesa...alipokwenda huko mtaani alikutana na wezi hata kabla ya kujieleza walimpgiga mitama wakachukua zile fedha na kuondoka ...na huo ukawa mwisho wa story
 
Asante sana WASIWASI for this needful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…