Hongera Sana Mkuu CK Allan, kwa stori bab-K ni kama vile unasoma Mapigano ya Willy Gamba wakiwa na "Kikosi Cha Kisasi" kwenye Jiji la Kinshasa wakipambana na waasi waliojificha kwenye biashara za Magereji kama:Natanguliza shukrani zangu kwa ninyi nyote mliosoma story hii na Sasa niwatakie Kila la kheri
Labda tutakutana kwenye MZAHA WA DAMU , MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA
!!!!
Ni kweli itakuja ingawa Sasa nishatoka likizo kwenye nyumba yenye Wi-Fi
Inabidi
gilly_munisi Shunie Gily tuongeze na Watu8
N.k wafanye mchakato wa bando...
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Weka no hapa ntakutumia vochaMaana sitaki nianzishe story halafu isiishe..
Kama mjuavyo Mimi napest tu story zipo tayari
Weweee Shunie ni madam wanguShunie hili chimbo vp niweke kambi kabisa?[emoji854]
Shukrani mkuuWeweee Shunie ni madam wangu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂WATUNZI MBADILISHENI HATA NAMBA YA KUANZA STORY...KILA SIKU STORY INAANZA NA HALI YA BARIDI KIMVUA CHEPESI...
TANGA KWELI TANGA...AU TANGA IPI...
MBADILISHEGE HATA SIKU MOJA...JUA LILIKUWA KALI SANA...
Natanguliza shukrani zangu kwa ninyi nyote mliosoma story hii na Sasa niwatakie Kila la kheri
Labda tutakutana kwenye MZAHA WA DAMU , MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA
!!!!
Keep it up the good workNatanguliza shukrani zangu kwa ninyi nyote mliosoma story hii na Sasa niwatakie Kila la kheri
Labda tutakutana kwenye MZAHA WA DAMU , MPANGAJI AU KESI YA MZEE MNYOKA
!!!!
Nayo bampa to bampa?Kuna Kesi ya Mzee Mnyoka pia
Ooh okayNdio tumefikia final Leo!