CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Basi Simba alipofika pale akakutana na mdada Charminglady akataka kummeza......
hadithi na uzee huu???
Siku moja simba akakosa chakula akataka kumla chui....hapo uadui ukaanza...
Ingawa sijawahi kusikia simba na chui ni maadui km ulivyo kwa simba na nyati
Si ndio unawahadithia watoto wa sasa
wao wanajua tom na jery, kirikuu tu.