kibenten
JF-Expert Member
- Mar 12, 2018
- 499
- 510
STORI:FUNDA MOKO.
MWANDISHI:KIBENTEN
Basi siku iyo nilikiwa nimechoka sana kutokana na kufululiza vipindi mbalimbali apa chuoni,,,
,,kilichonichosha zaidi ni semina inayosimamaiwa na Dk.mazigo kuvurunda.basi mida ya sa kumi nikaamua nirudi zangu hosteli kupumnzika,,,lakin kabla sijaingia ktk gari langu gafla binti mmoja aitwae Neema,,akanikonyeza ishara ya kwamba nimsubiri,,,,,,,,,,'neema alikuwa ni binti ambaye nadiriki kusema ingawaje sijawahi kufika mbinguni,ila naweza kusema kafanana na malaika,,,ukimtazama km ww ni mwanaume rijari ni lazima usisimuke,,kuanzia juu mtoto neeme alijaliwa kichwa cha mviringo mithili ua pera,,kichwa hicho kilipambwa na nyele nzuri na lain zilizoshuka hadi mgongoni,,,pua yake ilichongoka kama filimbi ya wachawi,,,,
,,,,macho yake malegevu utazani ana usingizi wa miezi, ambapo akikutazama km lazima umsogelee ukizani ya kwamba anakuita,,,,midomo yake ilikuwa minene kiasi cha kuwafanya wale wajuaji wa(french kiss) kummrzea mate,,,,shingo yake ilikuwa km twiga mjamzito,,,,,mgongo wake ulikuwa upo tambarare na chini yake kuna kiuno km cha nyingu wa jangwani na chini ya kiuno hicho kulikuwa na vimilima viwili vilovyovimba vizuri akiwa anatembea huwa vinacheza cheza,,,chini kabisa neema alijaliwa miguu mithilinya chupa ya hainken,,,,,,,,,,,hivo ndo alikuwa huyu neema mtoto wa kitajiri ambaye alifanya wanachuo wengi kina Dotto,,asenga ,,,,langa,,kigonga ,,,,ema,,, na wengine wengi kumfukuzia lkn bila mafanikio,,,,
..Basi nikamsalimu na kuniomba nimsindikize Kariakoo akafanye shooping basi nikakubaliana nae na kuanza kuondoka maeneo ya chuo cha DUCE tulifka kariakoo na kumaliza shooping yake,,,,nilimuomba aniache ili niende kupumzika zangu mbagala hostel lkn neema akanikatalia na kunambia nimsindikize kwenye hotel alikopanga maeneo ya Buguruni,,,
basi ngosha mimi sikuwa na hiyana ktokana na kuwa na huruma sana na upole wangu,,,,,tulifika pale hotelini alikopanga na kupanda lift hadi juu kabisa kilipo chumba chake chumba hicho kilikuwa na kila kitu,,,,gafla neema akaanza kuvua nguo na nilishuudia uumbaji wa mungu ulivyo wa ajabu jinsi mungu alivomuumba uyu mtt,,,basi kumbe alikuwa anataka kuoga basi aliingia bafuni na baada ya dk 8 akarudi na ndipo aliponiacha mdomo wazi baafa ya kutoka kajifunga kanga nyepes sana iliyoacha mapaja yake meupe na manene nje huku ile kanga ikiwa imelowa kabiaa kitenfo hicho kilifanya matofali yake kuonekana vizuri na huku kifuani zile embe dodo zake zikiwa zimechongoka km mikuki kitu kilichofanya dyudyu yangu kuanza kusukuma suruali yangu................................................ITAENDELEA KESHO KAMA UMEIPENDA COMMENT:
KAMA HUJAIPENDA ENDELEA KUIFUATILIA NAAMINI UTANITAFUTA KWA MDA WAKO UKIOMBA EPSODE ZA NYUMA NA MI NITARINGA MITHILI YA MSICHANA WA KITANGA AKIPOSWA.
MAKOSA YA KIUANDISHI YAPO LAKN KWA ZINAZOFATA ZITAKUWA BORA ZAIDI NA ZITAKUWA NDEFU KAMA DYUDYU ZA KISUKUMA,,,
kesho tena ipo bandugu.