kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,635
- 7,005
Naona hiki chuo kimefeli sana hasa kutokana na aina ya wasomi wanaotoka hapo.Ukifuatilia kwa makini,utagundua kuwa maamuzi mengi ya fitina,visasi,na jazba yanatafsiriwa kama uwajibikaji na uzalendo yanapofanywa serikalini ! Na wanaofanya hayo ndio hao hao wana udsm ! Mwl wenu ni nani mbona uchumi unawashinda nchi hii ?
Masuala ya uongozi ni zero ! Kama serikali iliyopita ilifanya maamuzi leo serikali ya chama kile kile mnawezaje kuyakana maamuzi yaliyofanywa na wenzenu kama vile yalifanywa na ukawa ? Dangote si mlikubaliana naye wenyewe ? Leo nini kinawafanya mumgeuke huku mkijua kuna watanzania wengi watapoteza ajira na kwamba mnaharibu image ya nchi kwa wawekezaji ?
Nimejiuliza kwa nini Nyerere na Mkapa walikuwa tofauti sana nikagundua hawa hawakuwa wasomi wa udsm.Unaweza kuangalia na kutafiti kidogo utagundua hata sehemu nyingine za kazi hawa watu hawafanyi vizuri zaidi ya kujisifia tu digrii zao tu