Hadi sasa ni Kippi Warioba ndiye mwenye nafasi ya kuutwaa U-RC Kilimanjaro

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,999
Naaum, ni uhakika wa asilimia zaidi ya tisini bado tu kutangazwa mrithi wa Meck Sadick katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hadi sasa ni Kippi Warioba ndiye jina lake limetawala viunga vya Magogoni Plot no.1 wilaya ya Ilala, jijini Dar Es Salaa.

Muda ndio wenye jibu kamili.
 
Si kweli lakini ujue. Atachaguliwa kuwa RC lakini twajua kuwa atachukua nafasi itakayo achwa wazi na mwingine atakaye hamishiwa hapo. Pole sana kwa mawazo yako
 
Naaum, ni uhakika wa asilimia zaidi ya tisini bado tu kutangazwa mrithi wa Meck Sadick katika nafasi ya Ukuu wa Mkoa wa Kilimanjaro. Hadi sasa ni Kippi Warioba ndiye jina lake limetawala viunga vya Magogoni Plot no.1 wilaya ya Ilala, jijini Dar Es Salaa.

Muda ndio wenye jibu kamili.

Naona uanpishana na BAshite,ameshatoa taarifa kwamba muda mfupi ujao anahamia Kilimanjaro
 
Kwa sababu Bashite ana mkono mrefu sana ndani ya Serikali hii,
Na mtafaruku uliokwishatokea baina ya Baba yake Kippi na Bashite mwenyewe, sioni nafasi ya Kippi kuwa Mkuu wa Mkoa......

Time will tell.
 
Warioba alimsaliti nani mkuu.
Watanzania wapenda mabadiliko bila kujali vyama waliotaka katiba mpya yenye maoni ya watanzani cha kushangaza dakika za mwisho akageuka alihokiamini kma vile humphrey polepole na kabudi wanavyoelekea kufanya!!!!
 
Mkuu uthibitisho wa kuwa yeye ni msaliti ni nini hapo?
 
Aliwasaliti wananchi baada ya kuhongwa ahadi ya UDC wa mwanawe , kwa kukubali kukipigia kampeni ccm iliyosigina maoni ya watanzania ikishirikiana na Samuel Sitta na Samia suluhu .
Mkuu bana ebu tuache vimaneno visivyo na msingi ni lini Mzee Warioba alihama C.C.M?

Kwan Katiba ingepita angesingepigia kampeni hiyo C.C.M

Sion usaliti wake hapo ila naona alifuata taratibu za chama chao na akawa kinyume na matarajio yako
 
Hujui kitu , tulia kimya .
 
Moshi hakuna siasa kama watu wanavo amini, tukisha chagua tuna pita ivi
Uko sahihi kabisa huwezi sikia maandamano Korofi Moshi hata siku lakini cha ajabu watu wa moshi ni mahodari kuhamasisha siasa banda Ya chaguzi kwenye mikoa ya watu wengine angalia godbless lema anavyoifanya arusha kaangalie mbowe akihamasisha vurugu au maandamano au matamko korofi hayafanyii moshi atayafanyia dar, mwanza, arusha, Mbeya nk lakini sio kwao. That's bad
 
mtoa mada ana kisa na Kippi. Anajua fika kwa kusema hivo JPM hatamchagua tena vile hapendi kufundishwa kazi. Halafu unakuja kumwaga mboga za mwenzio JF. Ngoja tusubiri tuone itakuaje.
 
Back
Top Bottom