Hadi sasa Majambazi wamebonyezwa vilivyo.

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,203
7,769
Kwa mujibu wa kauli aliyo itoa waziri wa Ulinzi leo trh 15/6/2021 mbele ya Amiri Jeshi Mkuu kuwa wamewashikisha adabu majambazi na mtandao wao na bado wanaendelee na operesheni kabambe.
Pongezi kwa Jeshi letu kwa kazi nzuri, nasi wananchi tunawaahidi kuendelea kutoa ushirikiano kwa kuwafichua MAJAMBAZI wote, Wezi, vibaka, wabakaji lkn bila kuwasahau wakubwa wa Majambazi ambao ni WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA.
kazi iendelee kwa maarifa na weledi.
tuendelee kuwafichua kwa siri, lengo ni kutokomeza
 
Majambazi wamepigwa shoo ya uhakika wakawwka mpira kwapani. Wananchi tunataka show kama hizo. Siyo kila wakati tunaishi kwa hofu wakati polisi wanawwza piga show za maana mpaka kukawa na amani.
 
Dawa ya majambazi ni kwamba ukikamata jambazi mmoja na kuthibitisha kama ni jambazi ni kumyinya MBUPU akaonyeshe mtandao wake wote ,mkishaukamata mtandao wao wa ujambazi na kuthibitha kwamba kweli ni majambazi basi kama Idd Amin alivyosema "No discussion" KUWAPA VYUMA TU.
 
Hahahaaaaa nikunyofoa pumbu zote
 
Aisee umwambie polisi !! Eti Fulani ??jambazi!?? Mhhh !!! Unwajua vizuri!??hawa polisi!!! ( baadhi)
 
Tunashukuru kwa hilo na tunaomba liwe endelevu,

Hadi vibaka kidogo wanawahi kulala, pale buguruni darajani walkuwa na mtindo wa kusimama kwa juu kama watalii kumbe wanamwangalia mshamba wa kumuminyia dispis kimyakimya huku wakikutishia utoe chochote la sivyo wanakudondosha.
Naona siku hizi hasimami ngedere yeyote
 
Back
Top Bottom