Hakuna bidhaa bila mteja mkuu,ananunua kwakuwa wanaji self sell.Anathibitisha kununua.
Kwani nawewe umo?hata ziki cost mbingu na nchi poa tu.Je hao sitini wametucost shillingi ngapi? Na hizo hela zimetoka wapi? Na kazi ya kutayarisha chaguzi mpya zimetucost fedha ngapi? Zimetoka wapi na kwamanufaa tu ya kumsifu mfalme?
Jamani ccm mtuhurumie mnatuumiza na kodi kwa matumizi yenu holela!!!
Viwanda zaidi ya 60 vimehengwa chatofaida ya madiwani 60 kuhamia ccm ni ipi? wakati waziri mpango amekiri hali ya uchumi ni tete!